TANGA: RAIS Samia Suluhu Hassan amesema serikali inaendelea kubuni mbinu za kukabiliana na wanyamapori wakali na waharibifu ...
MSHINDI wa tuzo za Grammy na mpiga piano maarufu, Roberta Flack amefariki dunia leo Februari 24, 2025 akiwa na umri wa miaka ...
VATICAN imetangaza kuwa Papa Francis, Kwa mujibu wa ripoti ya CNN, Papa Francis, Kanisa Katoliki, Roma, Italia.
Tangazo hilo la mgao wa umeme limekuja kwa mshangao, hasa baada ya taarifa ya kutia moyo kutoka kwa Eskom, ambapo walieleza ...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Wilbroad Mutafungwa, Laurent Samike amelipongeza Jeshi la ...
TANGA; Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi jengo la Halmashauri ya Wilaya ...
SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imechukua hatua madhubuti kukabiliana na uhaba wa wataalamu wa ...
TANGA: RAIS Samia Suluhu Hassan amezindua jengo jipya la Halmashauri ya Bumbuli, mkoani Tanga, akisisitiza umuhimu wa ...
DAR ES SALAAM: CHUO Kikuu Cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kimesema kitafanya uzinduzi wa Mfuko ...
MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa, amesema maboresho yaliyofanywa kupitia ...
SERIKALI imesema ipo tayari kukutana na viongozi wa vijana waliojitambulisha kuwa ni Umoja wa Walimu Wasio na Ajira (NETO).
MCHEKESHAJI mkongwe, Lucas Mhavile ‘Joti’ ameng’ara baada ya kutwaa tuzo mbili huku mchekeshaji Leonard Datus ‘Leonardo’ ...