Vatican imesema Papa Francis bado yuko katika hali mahututi, huku vipimo vya damu vikionyesha kuwa ameanza kuonyesha dalili ...
Azam ndio imekuwa ya kwanza kufunga bao katika mchezo wa leo kupitia kwa Gibril Sillah katika dakika ya pili ya mchezo ...
Dar es Salaam. Wajasiriamali wadogo nchini wametakiwa kusimamia vyanzo yao vya mapato na kujihusisha na mikopo endelevu ...
Kwa mujibu wa Utafiti wa Ajira na Mapato katika Sekta Rasmi Tanzania wa mwaka 2022/23, mtu mmoja kati ya wawili walio katika ...
Mnyeti amesema kwa kutambua hilo, leo katika ziara yake mkoani Tanga, Rais Samia Suluhu Hassan atakabidhi boti 30 na mitumbwi ...
Amesema kifo cha binti yake kimempa maswali mengi huku akiwa hajui kimesababishwa na nini hasa kutokana na mazingira ...
Muda mfupi ujao Simba na Azam FC zitaumana katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam ukiwa ni mchezo wa mzunguko wa pili ...
Taarifa hiyo imeeleza sababu ya mtalii huyo kupotea ni kutokana na upepo mkali na mawimbi yaliyosababisha boti kuelea.
Amesema awamu ya kwanza mwaka 2023 walivuna matikiti 11,000 kutoka ekari tisa walizokuwa wamelima na kupata Sh22 milioni ...
Mbali na waliofukuzwa, wanafunzi 19 wamesimamishwa kuendelea na masomo hadi Mei 5, 2025 huku wengine 45 wakisimamishwa kwa ...
Katika taarifa yake, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Safia Jongo amewataja waliokamatwa kuwa ni Yombo Bundala (75) Makame ...
Mchekeshaji Matumaini Marthin amesema kama siyo kuokoka kwake angekuwa amefariki dunia tangu mwaka 2013 baada ya kifo cha ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results