Vatican imesema Papa Francis bado yuko katika hali mahututi, huku vipimo vya damu vikionyesha kuwa ameanza kuonyesha dalili ...
Azam ndio imekuwa ya kwanza kufunga bao katika mchezo wa leo kupitia kwa Gibril Sillah katika dakika ya pili ya mchezo akimalizia mpira uliotemwa na kipa Mousa Camara. Baada ya kuingia bao hilo, timu ...
Azam ndio imekuwa ya kwanza kufunga bao katika mchezo wa leo kupitia kwa Gibril Sillah katika dakika ya pili ya mchezo ...
Dar es Salaam. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema waokota taka wana mchango mkubwa katika maendeleo ya Taifa na wana sehemu yao kwenye Dira ...
Mnyeti amesema kwa kutambua hilo, leo katika ziara yake mkoani Tanga, Rais Samia Suluhu Hassan atakabidhi boti 30 na mitumbwi ...
Kwa mujibu wa Utafiti wa Ajira na Mapato katika Sekta Rasmi Tanzania wa mwaka 2022/23, mtu mmoja kati ya wawili walio katika ...
Amesema kifo cha binti yake kimempa maswali mengi huku akiwa hajui kimesababishwa na nini hasa kutokana na mazingira ...
Dar es Salaam. Wajasiriamali wadogo nchini wametakiwa kusimamia vyanzo yao vya mapato na kujihusisha na mikopo endelevu ...
Mbali na waliofukuzwa, wanafunzi 19 wamesimamishwa kuendelea na masomo hadi Mei 5, 2025 huku wengine 45 wakisimamishwa kwa ...
Kwa pamoja wanakabiliwa na mashitaka 20 yakiwemo ya kutakatisha fedha na wizi wa mafuta ya petroli na dizeli zaidi ya lita ...
Chimbuko la agizo hilo ni hoja iliyoibuliwa na Mbunge wa Korogwe Vijijini, Timotheo Mzava aliyesema kuna mashamba mengi ...
Hata hivyo, barua zilizoandikwa na ACT kuhusu mapambano ya mageuzi ya mfumo wa uchaguzi ni uthibitisho wa kuunganisha nguvu ...